Tuesday, 28 February 2012
Monday, 27 February 2012
Thursday, 23 February 2012
PICHA YA LEO
Mbunge wa Su7mbawanga mjini Mh Aeshi hilal alipotembelea ikulu leo, akiwasilisha matatizo ya wananchi wake kwa mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Monday, 20 February 2012
Sunday, 19 February 2012
Thursday, 16 February 2012
MZEE YUSUF AKARIBISHWA VALENTINE'S DINNER NA KUTUNIKIWA ZAWADI NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE
Mwimbaji
na Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf, akaribishwa rasmi
valentines dinner, nyumbani kwa Missy Temeke na kutunukiwa zawadi mbali
mbali na wakaazi wa Maryland kwa hisani kubwa ya kutumbuiza siku ya
jumamosi ya Feb 5, 2012 ndani ya Washington DC Nchini Marekani.
Bi Moza Kiwa na Mdhamini wa pendo lake Mr Sarai M. Sarai katika mpango mzima wa kumkaribisha rasmi Mflame wa mipasho. na kuifanya sherehe hiyo ya aina yake.
Auntie
Rehema na walikwa mbali mbali walihudhuria katika tafrija hiyo
aliondaliwa Mfalme wa mipasho Mzee Yusuf kutoka nchini Tanzania, picha
ya pili Waheeda Margaret akiwa ameshikilia chupa ya champagne kwaajili
ya kufungua valentines dinner hiyo ilioandaliwa rasmi jana Jumunne
nyumbani kwa Missy Temeke Castlehedge Silver Spring Maryland Nchini
marekani.
Sophia
Mmombasa, Bi Moza Binty Khamis , Missy Temeke na Salma Jay Jay katika
mpango mzima wa valentines dinner,Jumanne ya wapendanao Feb, 2012
Deddy Rouba, 'kushoto' akiwa na Sophia Mmombasa, kulia wakipata flash ya pamoja na muimbaji maarufu Nchini Tanzania kwa jina la Mflame wa mipacho Mzee Yusuf, katikati wakiwa kwenye valentines dinner ilioandaliwa na Sophia Mmombasa na Missy Temeke jana Feb 14, 2012 ndani ya Silver Spring Maryland Nchini Marekani.
Mzee
Yusuf wamipasho akipata flash ya pamoja na Missy Tameke pamoja na
mdhamini wa pendo la Missy Temeke Mr Matope Jana jumanne katika sherehe
ya chakula cha usiku wa wapendanao, ndani ya nyumba yao.Vyakula vilioandaliwa kwenye valentines dinner vyanukisha ukumbi kwa ladha na utamu wanyumbani.
Missy Temeke akimtunuku zawadi Mzee Yusuf
Salma Jay Jay akimtunuku zawadi Mzee Yusuf
Mzee
Yusuf akitunzwa Rose Champagne kwenye valentines dinner iliofanyika
jumanne ya Feb 14, 2012 ndani ya nyumba ya Missy Tameke Silver Spring
Maryland Chini Marekani.
Salma Jay Jay akimtunuku zawadi Mzee Yusuf
Mzee
Yusuf akitunzwa Rose Champagne kwenye valentines dinner iliofanyika
jumanne ya Feb 14, 2012 ndani ya nyumba ya Missy Tameke Silver Spring
Maryland Chini Marekani.
habari na picha shukraan swahilivilla blogspot
Wednesday, 15 February 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)