Redds Miss Ubungo 2012, Irine Sizari, akipunga mkono kwa furaha mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo na kuwabwaga warembo wengine 14 usiku huu katika Ukumbi wa Land Mark Hotel jijini Dar es Salaam.
Redds Miss Ubungo 2012, Irine Sizari (katikati) akipunga mkono baada ya kuvikwa taji hilo na kupata tiketi ya kushiriki Miss Kinondoni 2012. Kushoto ni Mshindi wa Pili, Mwantumu Mustafa na kulia ni Mshindi wa tatu, Antonia Nyaragwinda. Shindano hilo limefanyika Juni 29, 2012 kuamkia Juni 30.