Pages

Ads 468x60px

Wednesday, 24 July 2013

TAARIFA YA MSIBA LONDON

Familia ya Mr. A Alfaghee inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa MAIMUNA FATMA KARUMBA kilichotokea jana London UK.
 Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki mchango wako wa dhati unahitajika ili kufanikisha maziko ya Binti Yetu Mpendwa, Ambayo Yamepangwa Kufanyika IJUMAA TAREHE 26 July 2013. Gharama za maziko ni £3000 tunaomba chochote ulichonacho ilikufanikisha maziko haya. Michango yote inwekee kwenye account ya
  MR A ALFAGHEE
Sort 09-01-27
Account Number 11832254
Santander.
Asanteni Kwa Ushirikiano Wenu
R.I.P MAIMUNA FATMA KARUMBA

Monday, 8 July 2013

SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD HUDUMA MPYA ZA NDEGE { AIR CARGO }


SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD
WAZEE WA KAZI
GOOD NEWS TO ALL!
FROM NOW ALL OUR CARGO WILL GO  WITH KENYA AIRWAYS!
 
THIS MEANS A DIRECT FLIGHT TO NAIROBI/DAR EVERY WEEK 
THIS MEANS NO MORE DELAYS OR EXCUSES!
THIS MEANS BETTER SERVICE THAN BEFORE!
    AIR CARGO TO DAR  
£3.50 per KILO! INCLUSIVE 
          CLEARANCE
 
ONCE YOU PAY HERE IN UK YOU DONT PAY ANYTHING IN TANZANIA
UKIISHA LIPA UK UNAKWENDA KUCHUKUA
ILALA MTAA WA ARUSHA 
KAMA UKO DAR TUNAKUFIKISHIA MZIGO MLANGONI KWAKO
FLIGHTS EVERY WEEK
WE APOLOGISE FOR DELAYS CAUSED ON OUR FISRT AND SECOND CARGO, 
THOSE WHO HAVE SUFFERED DELAYS BEFORE WILL GET CREDIT OF £100 ON THEIR NEXT CARGO
NOW WE OUR CARGO GOES WITH KQ WCHICH MEANS THERE SHALL BE NO MORE DELAYS!
TO COLLECT CARGO FROM LONDON £25 
TO COLLECT CARGO FROM OUTSIDE LONDON £50
KWA WALE WANAOTAKA KUNUNUA VITU UK 
TUTUMIE EMAIL AU TUPIGIE TUTAKUFIKISHIA 
SEBULENI DAR
MINIMUM WEIGHT IS 40K
40' CONTAINER TO DAR/MOMBASA 
NOW 1800
CHRIS LUKOSI +44 07903828119  & 07404279633 
SIMON LOUIS (MOHSIN) +44 07950689243
HASSAN +44  07448795075
HQ -  UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
Tell (+44) 01375 855917  Fax (+44) 01708202477

 
 

KONA YA MAPISHI

Shurba Ya Nyama Mbuzi

 
 
 
VIPIMO
 
 Nyama ya mbuzi ya mafupa au ya ng'ombe       Kilo moja
Mafuta                                                               2 vijiko vya supu
Vitunguu maji (vikate vidogo vidogo)                   2
Nyanya (kata ndogo ndogo)                                1


Thomu na tangawizi iliyosagwa                                2 vijiko vya supu
 
Bizari ya pilau ya unga (Jeera)                            1 kijijo cha chai
Gilgilani ya unga (Dania)                                     ½  kijiko cha chai
Pilipili manga ya unga                                          1 kijiko cha chai
Mdalasini wa unga                                              ¼ kijiko cha chai
Kotmiri (iliyokatwa ndogo ndogo)                         kiasi
Nanaa (iliyokatwa ndogo ndogo)                          kiasi
Chumvi                                                              kiasi
Siki                                                                    3 vijiko vya supu  
Shayiri (Oats) au *                                             2 vikombe
* ikiwa shayiri nzima nzima, basi roweka kwa  muda wa masaa na uchemshe mpaka ziive. 
   
NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA
  1.      Chemsha nyama na chumvi kwa maji kiasi  mpaka iwive
2.      Katika sufuria nyengine, weka mafuta na kaanga vitunguu kidogo tu vilainike,    usiviwache kugeuka rangi.
3.      Weka bizari zote, pili pili manga, chumvi.
4.      Tia thomu na tangawizi.
5.      Tia nyanya na bila ya kuzikaanga sana tia nyama na supu yake.
6.      Tia kotmiri, nanaa.
7.      Pembeni changanya shayiri (oats) na maji koroga kisha tia katika supu ya shurba.
8.      Iwache ichemke kidogo tu ngano ziwive.
9.      Tia siki na tayari kuliwa.