Saturday, 18 August 2012
Sunday, 12 August 2012
Saturday, 11 August 2012
Wednesday, 8 August 2012
TAWI LA CHADEMA LONDON LAZINDULIWA NA VIONGOZI WA MPITO WACHAGULIWA
Kamanda Godbless Lema akiongea machache wakati wa uzinduzi wa tawi la CHADEMA jijini London nchini Uingereza
Mwenyekiti wa tawi la Chadema London Kamanda Chris Lukosi akimwaga sera zake wakati wa uzinduzi huo
Kamanda Dr Alex ambae ni mweka hazina akimwaga sera zake
Makamu mwenyekiti Liberatus akichukua minutes
Katibu wa vijana Emanuel Lunyama akimwaga sera
Jessica Maduhu mwenyekiti wa baraza la wanawake CHADEMA tawi la London akimwaga sera
Margareth katibu wa wanawake CHADEMA tawi la London akiongea machache
Kwa habari zaidi www.jestin-george.com
Mwenyekiti wa tawi la Chadema London Kamanda Chris Lukosi akimwaga sera zake wakati wa uzinduzi huo
Kamanda Dr Alex ambae ni mweka hazina akimwaga sera zake
Makamu mwenyekiti Liberatus akichukua minutes
Katibu wa vijana Emanuel Lunyama akimwaga sera
Jessica Maduhu mwenyekiti wa baraza la wanawake CHADEMA tawi la London akimwaga sera
Margareth katibu wa wanawake CHADEMA tawi la London akiongea machache
Kwa habari zaidi www.jestin-george.com
Monday, 6 August 2012
KONA YA MAPISHI
Mchuzi Wa Kuku Wa Nazi Na Mayai Ya Kuchemsha
Vipimo
Kuku 2 Lb (ratili)
Thomu na tangawizi iliyosagwa 1 kijiko cha supu
Pilipili mbichi iliyosagwa 1 kijiko cha supu
Bizari ya pilau ya unga ½ kijiko cha chai
Ndimu 1 kamua maji
Chumvi kiasi
Bizari manjano ½ kijiko cha chai
Vitunguu maji 1
Nyanya 2
Tuwi la nazi zito 1 ½ kikombe
Mayai ya kuchemsha 6
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
- Mchemshe kuku na thomu na tangawizi na ndimu na chumvi mpaka akauke.
- Saga vitunguu na nyanya kidogo tu kwa kutumia tui kidogo katika mashine (blender).
- Mimina kwenye kuku pamoja na bizari zote.
- Acha achemke kisha tia tui lichemke mpaka liwe zito
- Tia mayai ya kuchemsha.
- Pakua kwenye bakuli tayari kuliwa na wali au mkate.
Sunday, 5 August 2012
Friday, 3 August 2012
MUALIKO KWA WATANZANIA WAISHIO LONDON NCHINI UINGEREZA KUJUMUIKA NA WENZAO WA AFRIKA MASHARIKI KATIKA UFUNGUZI WA TAWI LA BENKI YA KCB HAPA UINGEREZA
UBALOZI WA TANZANIA, LONDON, KWA NIABA YA BENKI YA KCB TANZANIA LIMITED INAWAALIKA WATANZANIA WOTE WAISHIO UINGEREZA, KUJUMUHIKA NA WENZAO WA AFRIKA YA MASHARIKI KATIKA HAFLA FUPI YA UFUNGUZI RASMI WA SHUGHULI ZA BENKI YA KCB NCHINI UINGEREZA, KWA WAISHIO UGHAIBUNI (DIASPORA).
HAFLA HIYO FUPI YA UFUNGUZI AMBAYO ITAWAJUMUISHA WAAFRIKA MASHARIKI, INA LENGO LA KUPANUA WIGO WA SHUGHULI ZA BENKI YA KCB HAPA UINGEREZA, KUTANGAZA SHUGHULI ZA UTENDAJI WAKE KATIKA KUWASAIDIA WANANCHI WA JUMUHIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI KATIKA KUWEKEZA KIBENKI, KUFUNGUA AKAUNTI ZA AINA TOFAUTI, KUJIWEKEA AKIBA, KUWEKEZA NYUMBANI (TANZANIA), NJIA MBALIMBALI ZA KUTUMA NA KUPOTEKEA PESA KWA NJIA YA MTANDAO (INTERNET), KUTUMA PESA KWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI (MOBILE PHONES), IPADS NA NYINGINEZO.HALFA HIYO , ITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI 4 AUGUST 2012, KUANZIA SAA 16:00pm, KWENYE HOTEL YA HOLIDAY INN, BLOOMSBURY, CORAM STREET, LONDON, WC1N 1HT
Subscribe to:
Posts (Atom)
































