Asma na dadie
Sandra $ Sameera wakiwa na dadi yao
Sarah naye na dadii
Sunday, 17 June 2012
Saturday, 16 June 2012
Matilda Martin ndie Redd's Miss Dar City Center 2012
Redd's Miss Dar City Center 2012,Matilda Martin (katikati) akiwa na mshindi wa pili wa taji hilo,Magdalena Munisi (kushoto) na Mshindi wa tatu,Witness Michael muda mfupi baada ya kutangazwa kwa washindi hawa katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam.
picha thenx father kidevu
picha thenx father kidevu
Wednesday, 13 June 2012
Tuesday, 12 June 2012
KONA YA MAPISHI
Nyanya Za Mshumuaa/Chungu/Ngogwe Za Nazi
Vipimo
Nyanya chungu 20-25
Tui la nazi 1 ½ kikombe
Kitunguu maji ½
Tungule (Nyanya) 2
Kitunguu Thomu 1 kijiko cha sukari
Bizari ¼ kijiko
Chumvi kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
1. Kosha nyanya chungu kisha zimenye uzipasue kati kati kwa urefu, itasaidia kuona kama hakuna wadudu ndani.
2. Kata kitunguu maji vipande vidogo vidogo, menya tungule maganda ukate pia.
3. Kwenye sufuria changanya vitu vyote , weka jikoni upike.
4. Ikikaribia tui kukauka epua.
5. Pakua kwa kijiko moja moja ili zisivurugike weka kwenye sahani tayari kuliwa
Wednesday, 6 June 2012
USIKOSE KUANGALIA ''THE MBONI SHOW'' KESHO
Mboni Masimba
Je! Mke au Mume Waweza Kumpata DISCO? Baasi usikose "The Mboni Show" kujua undani wa swala hili
Baadhi ya waalikwa
Mboni akiwa mbele ya baadhi ya waalikwa katika ''the mboni show''
Habari na picha thenx thembonishow

Tuesday, 5 June 2012
SPORAH ALIPOTEMBELEA NYUMBANI KWA LULU''..maamaa wa Unique Pearl Collection..
Sporah na familia nzima
Sandra na Sporah
Sporah na Sarah
Daaad na maaaam
My braza na Sporah
kwa habari zaidi na picha ingia www.sporah.com
Sandra na Sporah
Sporah na Sarah
Daaad na maaaam
My braza na Sporah
kwa habari zaidi na picha ingia www.sporah.com
Saturday, 2 June 2012
MISS TZ SALHA ISRAEL AFUNGUA DUKA LA MAVAZI LA 'MICHELE FASHION' DSM
Miss Tanzania Salha Israel (my bint) akikabidhi zawadi kwa mwandishi wa habari wa TBC Angela Michael mara baada ya kufungua duka la nguo la Michelle Fashion lililopo kwenye jengo jipya la PSPF katika mtaa wa Ohio jijini Dar es salaam leo, Duka hilo ndiyo mdhamini wa Miss Tanzania mmwaka huu kwa upande wa mavazi.
Nguo mbalimbali za kike katika duka hilo
Baadhi ya wafanyakazi wa duka hilo wakiwa katika picha ya pamoja.
Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania Bosco Majaliwa akizungumza katika duka hilo mara baada ya kuzinduliwa kushoto ni Miss Tanzania Salha Israel.
Miss Tanzania Salha Israel akiangalia nguo mbalimbali katika duka hilo mara baada ya kufungua rasmi.
Miss Tanzania 2011 akiwa tayari kwa kugawa zawadi kwa waandishi wa habari mara baada ya kufungua duka hilo.
habari na picha thenx father kidevu

Subscribe to:
Posts (Atom)