Pages

Ads 468x60px

Tuesday, 31 January 2012

IBM NORTHAMPTON....................SOMO FULL KUWAKILISHAAAA

Neema & Lulu
                                                        Lulu unique a.k.a my somo
                                                                         Terrel & Masda
                                                            Masda & Abdulrahmaan

                                                           Masda & Lulu
                                                               Hapana chezee'eaa

Monday, 30 January 2012

KONA YA MAPISHI

DESERA (WAFFLES)
 
Mahitaji:


1. Blue Band 1/4kg

2. Sukari Kopo moja la Blue Band 1/4 mpaka kwenye mstari wa chini pale kwenye kopo

3. Unga Ngano kopo2 blue band 1/4kg jaza mpaka juu usifanye mlima

4. Maziwa fresh kopo moja la blue band 1/4kg yafike chini ya mstari

5. Mayai 6


6. Baking Powder vijiko 2 vya chai jaza sana


7. Vanilla vifuniko 2 vya kale kachupa kadogo

UANDAAJI:
1. Changanya blue band yote na sukari ponda mpaka vilainike kabisa kusiwe na chengachenga za sukari

2. Weka mayai yote 6 ktk mchanganyiko wakwanza changanya mpaka vichanganyike vizuri

3. Weka ngano kopo zote 2 ktk mchanganyiko huo, changanya mpaka vilainike kabisa kusiwe na madongedonge

4. Weka maziwa yako changanya vizuri

5. Weka baking powder yako yote vijiko 2 changaya

6. Weka vanilla au esens yoyote uipendayo eg iliki, strawberr, rose etc. Changanya vizuri tayari kwa kupikwa

7. Kuna chuma chake spesho cha kupikia. Unaanza kuchoma. Ukimaliza ndo zinakua na muonekano huo kwenye picha. Ukichoma acha iwe brown. Unaweza kula na chai au juice.

Sunday, 29 January 2012

UKODAK KWENYE DUA'A ................ ........@AISHA'Z HOUSE


                                                                 Macca & Aisha
                                                                  Saqeena & Aisha
                                                                   Aunt k & Yasmin
                                                                     Mii & Meja
                                                Saqeena, Yasmin, Aisha, Meja & miiiiiii
                                                               Rose, Stella &Aisha

 
                                                                 siye na anti Zakhia
                                                                        Zeyana

Friday, 27 January 2012

WAZEE WA NGWASUMA NDANI YA DAR LIVE .......MBAGALA

       wanamuziki wa bendi hiyo Mule Mule (kushoto) na Jose Muzungu wakiimba.
         Nyoshi El Sadat (kulia) akiimba na mnenguaji wa bendi hiyo, Queen Suzy.
                       Rapa wa bendi hiyo Kitokololo akionyesha akiwa kazini.…
                Shabiki wa muziki anaejulikana kama Defao wa Tanzania akiimba
                                     Hapo akionesha umahiri wake wa kunengua
                                                       Queen suzy akiimba
             Wanenguaji wa bendi hiyo wakiwatia ukichaa mashabiki

picha thenx Global publishers

Tuesday, 24 January 2012

powzz


MEET GEOFREY B ILABAYE (20 ) AYOUNG TANZANIAN STUDENT FLYI...

undefined
 Pichani ni Kijana machachari wa kitanzania Geofrey Bilabaye  mwenye umri wa miaka Ishirini  anaetikisa chuo kikuu huko Marekani
---
Name: Geofrey C Bilabaye
School: Central Methodist University in Fayette Missouri
Sports: Soccer
Major: Computer science and international business.
GPA: 4.0
AWARDS:
-Dean's list (Spring semester 2011, fall semester 2011)
-2nd place in the heart of America Accademic excellence award
-Student staff member at the University specialised in mathematics
faculty (College algebra).
- President of International students at the university (landslide win).
-President of CSA (Catholic Students Association) on campus.
- Currently securing the senator position in the University's student
Government.
-Looking forward to run for school presidence in my junior year.
- Receiving presidential scholarship for my perfomance academic wise
- Receiving scholarship for playing soccer for the university's soccer
team, playing as an offensive player (striker). Last season I had an
average of 1 goal per match.
-Co-writer for the book called inscape comes out every spring and an
author of "Collegian" the university newspaper comes every after two
weeks, the collegian news paper is the one and only read at the
university and in fayette town.
-Currently doing honors program, this is a program done to students
with the highest GPA and graduate with honors from the school.
im honored to present a senior thesis on "africa's gemstones conflicts
in sierra Leone, tanzania, Angola, and DRC". to the university fuculty
and board.

About me: "I believe I'm written in the stars"

Monday, 23 January 2012

MAMA BALOZI UK JOYCE KALLAGHE AWAKARIBISHA WAHESHIMIWA WABUNGE WANAWAKE CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAKE


Katibu wa Chama cha wanawake UK (TAWA UK) Mariam Mungula akiwaeleza waheshimiwa machahceh kuhusu chama hicho.
Afisa wa Bunge Mrs Justina Shauri, Mhe. Esther Matiku, Mhe. Beatrice Shelukindo na Mama Balozi Joyce Kallaghe wakiwa wanamsikiliza mhe. Balozi akitoa ukaribisho
 Mama Balozi Joyce Kallaghe akiwa na wageni waheshimiwa wabunge Beatrice Shelukindo na Mamlek Sokoine
 Mwenyekiti wa TAWA UK Mariam Kilumanga na mwana libeneke Jestina George wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Al-Shaymaa J. Kwegyir
Mwenyekiti wa TAWA Uk Mariam Kilumanga, Afisa ubalozi mambo ya utawala Mrs. Rose Kiondo na Deputy Chairman wa TANZUK Ma Nelly wakiwa katika pich aya pamoja na Mhe.Al-Shaymaa J. Kwegyir 
 Mwana libeneke Jestina George akiwa katika picha ya pamoja na waheshimiwa Al-Shaymaa J. Kwegyir, Agripina Z Buyogera na Susan Lyimo
          Mhe. Balozi Peter Kallaghe akiwakaribisha waheshimiwa wabunge.
             Mhe. Beatirce Shelukindo akiwa na Mama Balozi Joyce Kallaghe.
 Mh. Anna Abdallah mwenyekiti wa TWPG na kiongozi wa msafara
 Waheshimwa wabunge wakiwa tayari kwa kupata chakula cha jioni kilicho andaliwa maalumu kwaajili yao na mama Balozi Joyce Kallagehe nyumbani kwake
                   Picha ya pamoja na waheshimiwa baada ya chakula cha jioni.

MAKAMUZI YA MZEE YUSUF ....@NEW YORK CITY