Fathiya
Swaumu
Julieth & Swaumu
Mr & Mrs Eddie
''nawapendaajeee''
Sunday, 29 April 2012
Sunday, 22 April 2012
TASWIRA'Z..........@SHULLA'Z K.PARTY
Maryam Mungula ......katibu TAWA
Salama
Zuhura & Amina
Keyfa & Lawi
Sakina & Tatu
Zaomba
Salha & Nayla
Lulu mamaaaa wa 'Unique Pearl Collections' & Dida
Rahma
Sakina
Miii
'Kungwi na mwariwe'
Salama
Zuhura & Amina
Keyfa & Lawi
Sakina & Tatu
Zaomba
Salha & Nayla
Lulu mamaaaa wa 'Unique Pearl Collections' & Dida
Rahma
Sakina
Miii
'Kungwi na mwariwe'
Saturday, 21 April 2012
HOTELI ZA KITALII KTK FUKWE ZA ZIWA TANGANYIKA.....MKOA WA RUKWA
Hoteli ya kitalii iliyopo Kipili wilaya ya Nkas mkoani Rukwa
Baadhi ya Hoteli zinazopatikana Mkoani Rukwa katika Wilaya ya Nkasi katika Tarafa ya Kipili. Boti zinazoonekana ni kwa ajili ya wateja watakaohitaji kwenda kucruise ndani ya Ziwa. Bado yapo maeneo maalum ambayo yametengwa kwa ajili ya ujenzi wa Hoteli za Kitalii katika ukanda huu.
Hakika mandhari haya yanavutia na hivyo ni baadhi ya vyumba katika Hoteli hiyo ya Kipili.
Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini Ally Kessy, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya, Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Joyce Mgana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Nkasi wakimaliza ziara ya kukagua Fukwe za Ziwa Tanganyika huku wakielekea kwenye Hoteli ya Kipili ambayo kwa kiasi kikubwa hupata wageni wa kitalii.

Mkuu wa Mkoa wa
Rukwa Injinia Stella Manyanya (Kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Joyce Mgana
(Kushoto) wakiongea na watalii waliofikia katika Hoteli ya Kipili Wilayani Nkasi
siku za hivi karibuni walipoenda kutembelea fukwe hizo.
Habari na picha akhsante OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA
Friday, 20 April 2012
Thursday, 19 April 2012
KONA YA MAPISHI
KUKU WA KUOKA (BAKED) NA SOSI YA UKWAJU
Vipimo
Kuku 1 mzima
Thomu na tangawizi ilosagwa 2 vijiko vya supu
Chumvi Kiasi
Bizari mchanganyiko 2 vijiko vya supu
Pilipili mbichi kijani na nyekundu 2-3
Ukwaju mzito uliokamuliwa ½ kikombe
Vitunguu vya kijani (spring onions) 2 mche (stalk)
Kotmiri 1 mche (stalk)
Mafuta 1 Vijiko vya supu
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
- Safisha kuku kisha mwache achuje maji vizuri.
- Katakata vitunguu, pilipili, kotmiri, weka kando.
- Changaya masala yote kwenye bakuli pamoja na mafuta.
- Mpakaze kuku wote masala ya ukwaju nje na ndani akolee viungo. Kisha roweka kwa muda wa masaa yasipungue mawili takriban.
- Muweke katika treya, na bakisha sosi ulomrowekea kidogo kando.
- Mtie katika oveni na muoke (bake) katika moto wa 350º-400º kwa muda wa takriban dakika 45.
- Akishaiva ongezea kumpakaza tena nje na ndani sosi ilobakia na nyingine mwagia juu yake. Mwagia vitunguu, pilipili kisha mchome moto wa juu (grill) kwa muda wa dakika 5-8 huku unamgeuza mpaka abadike rangi. Ikiwa katika jiko la makaa huku ukimgeuza na ukimpaka mafuta kidogo kidogo na mchanganyiko wa urojo wa ukwaju kwa brashi.
Monday, 16 April 2012
Friday, 13 April 2012
XOXO FASHION STORE...................
cute top,casual with jeans or long skirt....also available in black
other colours on the same design....
Tight fitting coloured jeans....all size and colours available
other colours on the same design....
Tight fitting coloured jeans....all size and colours available
Thursday, 12 April 2012
Tuesday, 10 April 2012
'EM EM' GROUP WALIPOTEMBELEA WAGONJWA OCEAN ROAD NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA
Karen (mwenyekiti) akikabidhi zawadi kidogo katika kituo cha watoto yatima kijitonyama CHAKUWAMA kwani hawakuishia ocean road tu, walitembelea hiki kituo na kutoa zawadi kidogo kwa watoto 80 wanaolelewa hapo na kusikiliza matatizo yao mengine
Huyu ni mgonjwa aliyeruhusiwa lakini hakuwa na nauli ya kurudi kwao Mbinga,walifanikiwa kumpatia kiasi cha Tshs 40,000, Karen akimkabidhi
Karen akimkabidhi mgonjwa pesa kidogo ambaye hana ndugu DSM walikuta wagonjwa 5 ambao hawana ndugu na wote waliwapatia pesa kidogo
Wana EM EM waliotuwakilisha wenzao kwenye msafara huo

Sunday, 8 April 2012
LAYAN'S 1ST BIRTHDAY ............@CHILLIS RESTAURANT
La' birthday girl ..............Layan
Ze keekiii
Mama na wana ''Dawood na Layan''
Junaid na Layan
La' famili
Asra
Sakina
nimelipenda powwzz
ze ''END''
Ze keekiii
Mama na wana ''Dawood na Layan''
Junaid na Layan
La' famili
Asra
Sakina
nimelipenda powwzz
ze ''END''
Subscribe to:
Posts (Atom)