Wednesday, 25 July 2012
Saturday, 21 July 2012
CAR 4 SALE!!!
MITSUBISHI SHOGUN WARRIOR GDI AUTO
SILVER SHORT WHEEL BASE 3
Door Estate, Silver, Petrol, Automatic, Electrically adjustable
 drivers seat, Alloy wheels, Body coloured bumpers, Trip
computer, Rear wiper, Heated front seat. EXCELLENT
CONDITION,  Safety Features: 4-Wheel Drive, Alarm, Anti-
Lock Brakes (ABS), Driver Airbag, Electronic Stability 
Program (ESP), Immobiliser, Passenger Airbag, Rear seat 
belts Year: 2003 Exterior: Alloy Wheels, Rear Spoiler, Tow
 Bar  Interior/Comfort Options: Air Conditioning, Climate
 Control, Cruise Control, Electric heated seats, Leather Seats,
  Power Locks, Power Seats, Power Windows, Tilt Steering
Wheel Engine Size: 3500 cc In-Car Audio: CD Player.
Interested please call Fawz +255784751762 or Khamisy on +255774540053 emaillucaskitojo@gmail.com
Thursday, 19 July 2012
Monday, 16 July 2012
CARS FOR SALE "DISCOVERY 3'.
5 Doors, Automatic, Station Wagon, Diesel, . ABS,
Alloy wheels, Cruise control, CD Multichanger, Air 
conditioning, Park distance control, boardcomputer, Sunroof
,
 Electric Seat Memory, tiptronic, leather interior, Electrically 
adjustable seats, Leather seats, Heated seats,  Climate Control,
Colour coding - Interior, Electric windows, Electric mirrors,
 Colour coding - Body, Adjustable steering column/wheel,
Electric sunroof, Folding rear seats, Lumbar support,
 Navigation system, Radio/CD Multichanger, Rear headrests,
 Traction control, Remote central locking, Alarm, Reverse 
parking aid, Height adjustable drivers seat, Electrically 
adjustable drivers seat, Electric door mirrors, Electrically
adjustable passenger seat, Full size spare wheel, Leather seat
trim, Audio remote control, Front electric windows, Metallic
 Paint, Rear electric windows, Heated door mirrors, Multi 
function steering wheel. XENONS, SIDE STEPS, SAT NAV, 7 
SEATS, FULL LEATHER, ELECTRIC HEATED MEMORY
 SEATS, LOVELY CAR, THROUGHOUT
Sunday, 15 July 2012
Wednesday, 11 July 2012
MKUU WA WILAYA MPYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA APOKELEWA KWA SHANGWE
MKUU wa wilaya 
mpya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa Moshi MussaChang’a amewaagiza viongozi wa kata za 
wilaya hiyo kuhakikisha wanawachukuliahatua kali za kisheria wazazi wa wanafunzi 
ambao walifaulu na kuchaguliwa kuingiakidato cha kwanza mwaka huu lakini 
hawajaripoti shuleni mpaka sasa ambapomuhula wa kwanza masomo 
umemalizika.
Chang’a ametoa 
maagizo hayo katika ziara yake yakujitambulisha katika wilaya hiyo ambapo 
anatembelea kata zote 17 za wilaya yaKalambo iliyozaliwa baada ya ya wilaya mama 
ya Sumbawanga kugawanywa.
Katika maagizo yake, 
Chang’a pia amewataka viongozi haowanafunzi ambao hawakuripo mpaka sasa, 
wanaripoti shuleni mara baada ya shuleza sekondari kufunguliwa mapema mwezi 
Julai, ambapo katika kata ya Kasangailiyopo mwambao wa ziwa Tanganyikawanafunzi 
40 hawakuripoti kidato cha kwanza kati ya 80 waliochaguliwa ikiwa nisawa na 
asilimia 50, huku wengine 56 wakishindwa kuripoti katika Kata ya 
Mkowe.
“Katika hili la elimu 
sitaki mchezo kabisa…ni bora tuonanewabaya kwa sababu kumkosesha mtoto elimu ni 
sawa na kumuua”  alisema Mkuu huyo wa wilaya ambapo aliwatakawatendaji wa Kata 
na Vijiji kushirikiana na walimu wakuu wa shule za sekondarikumaliza tatizo 
hilomara moja.
Mkuu huyo wa wilaya 
ameanza ziara hiyo siku mbili tu baadaya kuripoti katika kituo chake cha kazi, 
ambapo amekuwa akiwaeleza wakazi wawilaya hiyo utajiri wa fursa zilizopo na 
kuwataka wazitumie kwa ipasavyo ilizisaidie kuleta maendeleo ya haraka ndani na 
nje wilaya hiyo.
Amezitaja baadhi ya 
fursa za kiuchumi kuwa ni pamoja naKilimo cha mazao mbalimbali kama vile 
mahindi, alizeti,maharage, mihogo, napamoja na ufugaji wa nyuki kwa njia ya 
kisasa kwa kuweka mizinga ya nyukikuzunguka mashamba ya alizeti ili wasadie 
kuchavusha alizeti na pia kupataasali nyeupe ambayo bei yake ni kubwa katika 
soko la dunia.
“Asali nyeupe ni 
utajiri mkubwa kwa sasa, kuna makampuniyanayoinunua kwa bei ya shilingi 150,000 
kwa lita moja tu…na mimi ninamawasiliano na makampuni haya kwa hiyo nawapa hii 
changamoto, kila mkulimaatakayelima alizeti aweke na mizinga ya nyuki kuzunguka 
shamba lake”alisisitiza.
Kwa upande wao, 
wakazi wa wilaya hiyo wamemwelezea Mkuu wawilaya yao kuwa tumaini jipya katika 
kuletamaendeleo ya wilaya yaona kwamba watashirikiana naye katika kuchapa kazi, 
huku wakiishukuru Serikalikukubali ombi la kuwapatia wilaya 
hiyo.
Monday, 9 July 2012
Friday, 6 July 2012
KONA YA MAPISHI
Samaki Na Rojo La Koliflawa
Vipimo          
Samaki nguru (king fish)                                         6 Vipande au wazima
Thomu na tangawizi ya kusaga                                   1 kijiko cha supu
Chumvi                                                                      kiasi
Pilipili nyekundu  ya unga                                            2 vijiko vya chai
Bizari ya samaki (au yoyote upendayo)                     1 kijiko cha chai
Ndimu                                                                       3 vijiko vya supu
Mafuta ya kukaangia
Koliflawa                                                                ½  
Viazi                                                                        4
Vitunguu                                                                  3
Nyanya                                                                   4
Nyanya kopo                                                          2 vijiko vya supu
Pilipili mbichi                                                            3
Pipilipili manga                                                         1 kijiko cha chai
Chumvi                                                                   kiasi
Mafuta ya Kupikia                                                   Kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika samaki:
- Changanya vitu vyote katika bakuli ufanye lahamu (paste) ya kupakia samaki.
- Paka samaki lahamu kisha mroweke kwa muda mdogo tu.
- Kaanga samaki kisha weka kando.
Rojo La Koliflawa:
1.       Chambua koliflawa kisha panga katika treya ya kupikia ndani ya oveni.
2.       Nyunyizia chumvi na pilipili ya unga kidogo tu, kisha pika kwa moto wa kiasi 350° F  kwa muda mdogo tu kiasi yaive nusu yake tu. Epua na weka kando.
3.       Menya na katakata viazi vya mviringo ukaange katika mafuta, toa weka kando.
4.      Katika karai nyingine, tia mafuta vijiko viwili vya supu, kaanga vitunguu vilokatwakatwa hadi vigeuke rangi ya hudhurungi (brown) isiyokoza.
5.       Katakata nyanya, pilipilii mbichi, kaanga pamoja na vitunguu.
6.       Tia nyanya kopo, chumvi, pilipili manga, changanya vizuri.
7.       Tia maji kiasi robo kikombe uchanganye iwe sosi.
8.       Tia koliflawa na viazi changanya kidogo tu.
9.       Panga samaki katika chombo au sahani ya kupakulia.
10.    Mwagia sosi juu yake ikiwa tayari kuliwa kwa wali au mkate.
  Kidokezo: 
Samaki ukipenda mchome (bake/grill) katike oveni . Ikiwa utamchoma (bake) unaweza kumchoma pamoja na koliflawa.
Tuesday, 3 July 2012
Subscribe to:
Comments (Atom)
 

 









 
 
 
 
 
 
 
 
