Pages

Ads 468x60px

Monday, 11 March 2013


MSAADA TAFADHALI

undefined
Ndugu zangu wapendwa nawasalimu katika jina la alie juu yeye atupae uzima. Naomba niwajulishe watz wote waishio UK kuwa ndugu yetu Josephat Torner alieshiriki katika BBC Documentary ya albino killings in Tanzania iliyoonyeshwa mwaka jana ameshawasili tokea jana tayari kushiriki katika film nyingine itakayoonyeshwa siku ya Ijumaa tarehe 15 Mach 2013.

Josephat Torner angependa sana kukutana na Watanzania waishio huku nje ili atueleze uzito wa hili swala Na jinsi tutakavyoweza kisaidiana. Tunawaomba watanzania tujitokeze kwa wingi tumuunge mkono huyu ndugu yetu kwa jitihada zake na ujasiri wake kwani ni kazi inauohitaji moyo sana na inaumiza roho sana kusikia mateso wanayoyapata hawa 
wenzetu wenye ulemavu wa ngozi

undefined
Filmed over six years, In the Shadow of the Sun tells the story of two men with albinism in Tanzania, Josephat Torner and 15-year-old Vedastus, who are pursuing their dreams in the face of virulent prejudice. Through his intimate portrait, filmmaker Harry Freeland reveals a story of deep-rooted superstition, heartfelt suffering, and incredible strength.

Please note: All Human Rights Watch Film Festival screenings will start promptly at the advertised time.

SHOWING AT:
SOHO CURZON
FRIDAY 15 MARCH 2013
TIME: 18:30
ADVISED 16


No comments: