Pages

Ads 468x60px

Wednesday, 12 October 2011

kona ya mapishi

                                             UWA LA MATUNDA

Nanasi                                                                   1

Tikiti la asali la kijani (honey dew)                           1
  
Shammaam (tikiti, cantelope)                                1

Machungwa                                                           2

Balungi (grape fruit)                                               ½

Zabibu za kijani                                                      3 misongo (bunches)

Plamu (plums)                                                       7 – 9 kiasi

Stroberi (strawberries)                                           7 – 9 kiasi



Namna Ya kutayarisha

  1. Kata kichwa cha nanasi, osha  kiweke katikati ya sinia ya kupakulia.
  2. Katakata matikiti yote vipande virefu virefu upange kwa mpangilio, weka kwanza tikiti la kijani kiasi, kisha weka tunda jengine kama plamu au stroberi, kisha weka vipande vya Shammaam kiasi, vipande vya nanasi uzungushe sahani hivyo hivyo.
  3. Tupia tupia matunda mengine baina ya matikiti kuleta shepu ya mauwa, na weka stroberi moja juu ya kichwa cha nanasi 
 Kidokezo:
Unaweza kubadlisha au kuongeza matunda mengine kama tikiti maji (water-melon), peya, tufaha, peache, machenza n.k.

Monday, 10 October 2011

VOTE VOTE GUYS FOR THE SPORAH SHOW AT BEFFTA AWARDS 2011.!

THE SPORAH SHOW HAVE BEEN NOMINATED AT THE BEFFTA AWARDS 2011 FOR..!
1. THE BEST TV SHOW 
2. THE BEST TV PRESENTER..! 
                                                          IT' SIMPLE, JUST CLICK HERE: http://www.beffta.com/voting

ni Ramadhan Mahiza na Zuwena Ally






                                                




Friday, 7 October 2011

jumaa kareem!!

                                                             maysam

Thursday, 6 October 2011

MPIGIE KURA MISS JESTINA


MISSJESTINAGEORGE.BLOGSPOT.COM imechaguliwa kuwa mojawapo ya blogs ambazo zitakazo chuana vikali katika kuwania ushindi  wa kutafuta BLOG ya mwaka katika tuzo za BEFFTA (Black Entertainment Film, Fashion, Television and Arts) zitakazofanyika tarehe 22 Octoba 2011 hapa jijini London.
Kwa heshima na taadhima zote naomba wadau tuipigie kura ili blog yetu iweze kupata tuzo hii muhimu. Hii ni Blog pekee kutoka Tanzania  kuingia katika kinyang'anyiro hiki. 

Jinsi ya kupiga kura ni rahisi tu tembelea www.beffta.com/voting utaona fomu ya kujaza andika jina lako, email yako, halfu chini ya Category chagua News 4. Blog of the Year na kwenye Nominee  chagua Miss Jestina George <http://www.missjestinageorge.blogspot.com>. Baada ya hapo bofya Submit Your Vote.

Blog ya www.missjestinageorge.blogspot.com ina husika na Mambo ya Urembo, Mitindo, Sanaa na Matukio Mbalimbali na Motomoto kutoka kila pande za dunia.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wote ambao watakaoweza kunipigia kura na hata wale wambao hawata weza kunipigia kwa sababu moja au nyingine.
Asanteni sana na wote Mbarikiwe.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Wabariki Watanzania
-- 
Jestina George
mii yangu ulishaipata toka 1/10

Taswira za watu kwenye sherehe za arus ya Ramadhan Mahiza na Zuwena Ally
















Wednesday, 5 October 2011

CELEBRATING 8020 FASHIONS 5TH ANNIVERSARY IN STYLE...!!!

LADIESSSSSSS IN TANZANIA THIS IS FOR YOU!!!

8020 FASHION BLOG IS CELEBRATING IT'S 5 YEARS ANNIVERSARY IN  STYLE!

LOCATION: DIAMOND JUBILEE VIP HALL
TIME:  Noon on wards.
Date: 30th OCTOBER 2011
DRESS CODE: Khanga,Vitenge , Bazee ( AFRICAN TOUCH)

Its a ladies only affair!! Lunch will be provided, drinks and a special drink for the special ladies that we are.

A live band and a DJ will be present!!

IT ONLY COSTS 30,000 TZS only..
Book your tables NOW!!
TABLES ARE LIMITED IN NUMBER!!!!

FOR MORE INFO CONTACT: 0784 418 941 begin_of_the_skype_highlighting              0784 418 941      end_of_the_skype_highlighting OR 0767 418 941 begin_of_the_skype_highlighting              0767 418 941      end_of_the_skype_highlighting

LOOK YOUR BEST & DRESS TO IMPRESS BECAUSE THE POSES ON THE RED CARPET WILL BE 360 DEGRES AND NOT LESS!!!!! 

***************************

YAP NI MIAKA MITANO (5 ) TANGU NIANZE LIBENEKE LA KUBLOGUA, KWA SUPPORT YENU WADAU NA WADHAMINI   NAONA NI VYEMA  TUKASHEREHEKEA PAMOJA SIKU HII..


NDANI YA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE VIP,
SIKU YA JUMAPILI YA TAREHE 30 OCTOBER

.ITAKUWA NI YA WANAWAKE PEKEE NA KIINGILIO NI SHILINGI 30,000/=
AMBAPO TIKETI ZITAUZWA KWA MEZA YA WATU KUMI
(RAHA YA SHUGHULI UKAE NA SHOGAZO EEEE SHOST KWA HIYO MKUSANYANE KUMI ILI TWENDE SAWA.

NA PIA KAMA UKO PEKE YAKO PIA BOOK TIKETI YAKO .

ITAANZA MCHANA AMBAKO UTAPATA LUNCH NA VIVYWAJI PAMOJAAA NA KINYWAJI MURUA(SPECIAL FOR LADIES) UTAONJA SIKU IYOO USHAKUNYWA KINYWAJI NA CAKE AU KINYWAJI NA KAHAWA WEYEEE.....BASI UTAKINYWA KWENYE 8020 FASHIONS ANNIVERSARY.
DRESS CODE:: NI B2A & AFRICAN TOUCH (KITENGE,BAZEE,KANGA VINAHUSU hata uvae kizungu ila tupia accesories za B2A)



ZINGATIA RED CARPET NI 360 DEGREE POSES ;)

 
wa live, DJ atasababisha pia,burudani telee

NEED I SAY MORE?!!!

KUBOOK TIKETI PIGA 0784 418941 begin_of_the_skype_highlighting              0784 418941      end_of_the_skype_highlighting AU 0767 418941 begin_of_the_skype_highlighting              0767 418941      end_of_the_skype_highlighting(Mpesa itatumika katika kununua tiketi. book mapema meza ni chache)


EMAIL::shamyomy@yahoo.com



TUJIAMINI ...TUJIPENDE....TUSHIKAMANE.....

Sunday, 2 October 2011

KILA LA KHERI KWENYE MITIHANI YENU YA KIDATO CHA 4 ....NECTA

 
                                                                             
                                                                     RAGGYA