Saturday, 22 October 2011
Friday, 21 October 2011
kona ya mapishi
Pudini (Pudding) Ya Mayai
VIPIMO
1) maziwa 2 ½ mugs
2) mayai 8
3) sukari 1 kikombe cha chai
4) hiliki ½ kijiko cha chai
JINSI YA KUIPIKA PUDDING
1) Unatia mayai yote 8 kwenye blender,maziwa ,hiliki na sukari robo kikombe ikisha unasaga kwa dakika 3.
2)
Sukari iliyobaki unaitia kwenye sufuria moto mdogo mdogo unaiyayusha
mpaka iyayuke na iwe brown,unaiwacha kidogo ikisha unaisambaza kwenye
sufuria humo humo. Mpaka ienee nusu ya sufuria lako.
3) Chukuwa mchanganyiko wa maziwa na mayai umimine humo kwenye sufuria la sukari iliyoyayushwa halafu funika.
4)
Chukuwa sufuria nyingine kubwa ya hiyo uliyotilia sukari na
mchanganyiko ikisha itie maji nusu na uiteleke ndani yake tia sufuria
yako yenye pudding.kumbuka sufuria ya pudding itakuwa inaelea kwahiyo
tafute kitu kizoto ukiweke juu ya sufuria ya ndani yenye pudding.
5)
Iache itokote mpaka maji yakianza kumalizika ongeza maji mengine ,huku
unaifunguwa kuitizama ukiona tayari imeshaganda yaani imeshajishika basi
iepuwe wacha ipowe.
6) Ikipowa mimina kwenye chombo kama sahani yenye shimo kidogo ikisha weka ndani ya fridge, ikishapata ubaridi tayari kwa kuliwa.
Wednesday, 19 October 2011
Tuesday, 18 October 2011
SERENGETI FREIGHT FORWARDERS
(WAZEE WA KAZI)
TUMEFUNGUA BRANCH MPYA EAST HAM!
KUTUMA DOCUMENTS BY DHL
£25 ONLY
YOU CAN ALSO SEND PARCELLS BY DHL WITH US
MELI YA VIFURUSHI IMEONDOKA NA ITAFIKA DAR 11/11/2011
MELI NYINGINE YA VIFURUSHI ITAONDOKA 25/10/2011
ITAFIKA 30/11/2011 WAHI CHRISTMASS
£2.20 PER KILO
UKILIPA UK HULIPI TENA BONGO
BEI NI PAMOJA NA KUKOMBOA MZIGO WEWE UNAKWENDA CHUKUA KWENYE WARE HOUSE YETU DAR
SALOON CARS TO MOMBASA/DAR NOW FROM £700
4X4 TO MOMBASA/DAR NOW FROM 780
NEXT VESSEL FROM TILBURY 24/010/2011
NEXT VESSEL FROM SHEERNESS 13/10/2011
WE NOW HAVE A VERY LARGE WAREHOUSE AND
STORAGE YARD IN TILBURY WHICH HAS MAXIMUM
SECURITY, STORAGE NI BURE
Contact us for more info;
CHRIS LUKOSI 07903828119
SIMON LOUIS (MOHSIN) 07950689243
EAST HAM BRANCH CALL JESSE MALONGO 07591995595
UKILETA MTEJA UNAPATA 10% DISCOUNT ON YOUR NEXT SHIPMENT
HQ - UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
RAINHAM BRANCH - Unit 21 Harbour House,Coldharbour Lane, Rainham, RM13 9YA
EAST HAM BRANCH - 267 HIGH STREET SOUTH, EAST HAM, E6 3PG
Friday, 14 October 2011
Wednesday, 12 October 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)