Pages

Ads 468x60px

Saturday, 20 August 2011

Rais JK alivyofuturu na watoto yatima ikulu


Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi kwa baadhi ya watoto yatima aliofuturu nao  ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimhudumia mmoja wa watoto yatima aliowaalika katika futariikulu. 

picha thanks matukio uk

No comments: