Tuesday, 28 February 2012
Monday, 27 February 2012
Thursday, 23 February 2012
PICHA YA LEO
Mbunge wa Su7mbawanga mjini Mh Aeshi hilal alipotembelea ikulu leo, akiwasilisha matatizo ya wananchi wake kwa mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Monday, 20 February 2012
Sunday, 19 February 2012
Thursday, 16 February 2012
MZEE YUSUF AKARIBISHWA VALENTINE'S DINNER NA KUTUNIKIWA ZAWADI NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE
Mwimbaji
 na Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf, akaribishwa rasmi 
valentines dinner, nyumbani kwa Missy Temeke na kutunukiwa zawadi mbali 
mbali na wakaazi wa Maryland kwa hisani kubwa ya kutumbuiza siku ya 
jumamosi ya Feb 5, 2012 ndani ya  Washington DC Nchini Marekani.

Bi Moza Kiwa na Mdhamini wa pendo lake Mr Sarai M. Sarai  katika mpango mzima wa kumkaribisha rasmi Mflame wa mipasho. na kuifanya sherehe hiyo ya aina yake.
Auntie
 Rehema na walikwa mbali mbali walihudhuria katika tafrija hiyo 
aliondaliwa Mfalme wa mipasho Mzee Yusuf kutoka nchini Tanzania, picha 
ya pili Waheeda Margaret akiwa ameshikilia chupa ya champagne kwaajili 
ya kufungua valentines dinner hiyo ilioandaliwa rasmi jana Jumunne 
nyumbani kwa  Missy Temeke Castlehedge Silver Spring Maryland Nchini 
marekani.

Sophia
 Mmombasa, Bi Moza Binty Khamis , Missy Temeke na Salma Jay Jay katika 
mpango mzima wa valentines dinner,Jumanne ya wapendanao Feb, 2012
Deddy Rouba, 'kushoto'  akiwa na Sophia Mmombasa, kulia wakipata flash ya pamoja na muimbaji maarufu Nchini Tanzania kwa jina la Mflame wa mipacho Mzee Yusuf, katikati wakiwa kwenye valentines dinner ilioandaliwa na Sophia Mmombasa na Missy Temeke jana Feb 14, 2012 ndani ya Silver Spring Maryland Nchini Marekani. 

Mzee
 Yusuf wamipasho akipata flash ya pamoja na Missy Tameke  pamoja na 
mdhamini wa pendo la Missy Temeke Mr Matope Jana jumanne katika sherehe 
ya chakula cha usiku wa wapendanao, ndani ya nyumba yao.Vyakula vilioandaliwa kwenye valentines dinner vyanukisha ukumbi kwa ladha na utamu wanyumbani.
 Missy Temeke akimtunuku zawadi Mzee Yusuf 
Salma Jay Jay akimtunuku zawadi Mzee Yusuf
 
Mzee
 Yusuf akitunzwa Rose Champagne kwenye valentines dinner iliofanyika 
jumanne ya Feb 14, 2012 ndani ya nyumba ya Missy Tameke Silver Spring 
Maryland Chini Marekani.
Salma Jay Jay akimtunuku zawadi Mzee Yusuf
 
Mzee
 Yusuf akitunzwa Rose Champagne kwenye valentines dinner iliofanyika 
jumanne ya Feb 14, 2012 ndani ya nyumba ya Missy Tameke Silver Spring 
Maryland Chini Marekani.
habari na picha shukraan swahilivilla blogspot
Wednesday, 15 February 2012
Subscribe to:
Comments (Atom)
 


 







































 
 
 
 
 
 
 
 
