Pages

Ads 468x60px

Monday, 13 February 2012

MAKAMUZI YA TUNDAMAN......@THE PIT STOP (UWANJA WA NYUMBANI)

                                                         Tundaman katika poowzz
                                  my anunt Safina Kassu na mwanalibeneke Jestina George
                                                      Naju, Rahma,Shenaz na Jestina
                                       Tundaman akiwapagawisha kisawasawa
                       msanii wa bongo movie Mecky akionyesha umahiri wake
                                                     Lady Tuma akilirudi goma la manzese
                             Mo wa London kama kawa akifurahia makamuzi

Msanii Tundaman yuko nchini Uingereza kwaajili ya show iitwayo 'Tundaman Valentine Tour' iliyo andaliwa na mwanadada Safina Kassu wa Kassu Entertainment.
Show yake ya kwanza ilianza tarehe 11 Feb 2012 katika kiota kipya cha maraha jijini London kiitwacho The Pit Stop 'Uwanja Wa Nyumbani' ambao msanii huyo alikonga nyoyo za masahbiki wake pale alipo anza makamuzi na kuwashukia na nyimbo zake pamoja na za kikundi cha Tip Top Connection.

Show zinaendela na tuonomba watu wajitokezee kwa wingi kwa ajili ya kumsupport msanii na mtanzania mwenzetu huyu.


Asanteni
 

No comments: