Pages

Ads 468x60px

Sunday, 25 March 2012

SAFARI ZA NDEGE DAR - SUMBAWANGA ZA ZINDULIWA NA AURIC AIR

 Ndege ya AURIC AIR itakayokuwa inaendesha huduma za anga za kampuni hiyo, ikiwa katika maandalizi ya safari kutoka Dar kuelekea Sumbawanga
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Stella Manyanya akiwa pamoja na meneja wa biashara wa kampuni za ndege za Auric Air Deepesh Gupta (kushoto kwake), katibu tawala mkoa wa Rukwa kushoto Salum Mohammed Chima,mbunge wa sumbawanga mjini Aeshi Hilal (kulia) na katibu mkuu utumishi George Yambesi, muda mfupi kabla ya ndege kuondoka Dar kuelekea Sumbawanga.
Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilal alikuwa mmoja wa abiria 13 waliopanda ndege hiyo kwenye uzinduzi kutoka Dar kuelekea Sumbawanga, ofisi ya mkoa kwa kushirikiana na mbunge huyu pamoja na wadau wengine wengine ndiyo matunda ya muwekezaji huyo mkoani Rukwa.
                            Wakiwa mjini Sumbawanga kwenye uzinduzi wa safari hizo

Baadhi ya picha shuqraan Michuzi

2 comments:

MOJAONE said...

Diiy .. Sijui ni kiasi gani ticket kutoka Dar mpaka Swanga.

diiy said...

usd 350