Namshukuru mwenyezmungu, nawashukuru wazazi wangu, ni mwaka mwingine tena unaoongeza umri wangu.
Monday, 9 January 2012
Sunday, 8 January 2012
Saturday, 7 January 2012
BOB JUNIOUR'Z(SHAROBARO'Z PREZIDAA) NIGHT........ @UWANJA WA NYUMBANI........THE PIT STOP
Adila & Amina
Salama & Nuru
Amina, Zuhura & a friendPriscilla & friendz
Fathiya
Chris luv,sharobaro,Ally muhidin,Dj Richie
Neema & friend
Mohsin (mzee wa kazi) & Ally
Wednesday, 4 January 2012
Tuesday, 3 January 2012
SERENGETI FREIGHT FORWARDERSWAZEE WA KAZIWAKURUGENZI WA SERENGETI FREIGHT
WAKISHIRIKIANA NAMISS JESTINA GEORGE BLOG
BRIGHT FUTURE TZ
PAMOJA NAURBAN PULSEWANAJUMUIKA NA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK KUWAPA POLE WATANZANIA WOTE WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO YALIYOTOKEA JIJINI DARTUNAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE MUISHO UK
HAREMBEE ITAFANYIKA TAREHE 7 JANUARY 2012,
THE PIT STOP 'UWANJA WA NYUMBANI'
721 RIPPLE ROAD
BARKING
IG11 0SN
KUANZIA SAA NANE MCHANA (2PM-LATE)
UNAKARIBISHWA
KULETA CHOCHOTE ULICHO NACHO UTAKACHO ONA KINAWEZA KUSAIDIA HAWA NDUGU
ZETU WALIOKUMBWA NA KUATHIRIKA NA MAFURIKO.
AU
KAMA KUNA MTU YOYOTE ANATAKA KUTOA MSAADA AULETE OFISINI KWETU (SERENGETI FREIGHT) NA TUTASAFIRISHA KWENDA DAR BURETUNA WAREHOUSE KUBWA ZA KUHIFADHIA MISAADA YA UKUBWA WOWOTELETE MAGODORO NGUO MASUFURIA MICHELE, SABUNI, MAFUTA, SUKARI NA N.K KILA KITU KITAPELEKWAKWA MAWASILIANO ZAIDI KUHUSU MISAADA WASILIANA NAJESTINA GEORGE 07404332910FRANK EYEMBE 07865594576BARAKA NYAMA 07816981577TUNAWASHUKURU NYOTE KWA KUJALI NDUGU ZETUContact us for more info;CHRIS LUKOSI 07903828119SIMON LOUIS (MOHSIN) 07950689243BRIAN (BABA NJOROGE) 07795160757HASSAN (RICHARD) 07405159255HQ - UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
UPDATE
KWA WALE WAKAZI WA MIKOANI WENYE
VIFURUSHI NA MGEPENDA KUCHANGIAILA KUFIKA ITAKUWA TAABU TUNAOMBA
MUWASILAINAE NA HAWA WAFUATAO
READING: NDUGU BERNARD CHISUMO (07876126862)
MILTON KEYNES NA WA KARIBU: NDUGU FADHIL DADDIA (07944104289)
MIKOA MINGINE BADO TUNATAFUTA WAWAKILISHI TUTAWAJULISHA MARA TUWAPATAPO.
ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
KONA YA MAPISHI
Nyama Ya Kukaanga Na Mboga Ya Mchicha (Spinach)
Vipimo:
Nyama isiyo na mifupa 1 Ratili (LB)
Thomu na tangawizi iliyosagwa 1 Kijiko cha supu
Kitunguu 1 kikubwa
Pilipili manga ya unga 1/2-1 Kijiko cha chai
Bizari ya unga(Garam masala) 1 Kijiko cha chai
Chumvi Kiasi
Sosi ya soya(soy sauce) 2 Vijiko vya supu
Mboga(Spinach) ya barafu iliyokatwa 1 pakiti
Hummus(Chick peas) 1 Kopo
Mafuta ya kukaangia 1/4 kikombe
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
1. Katakata nyama vipande vidogo.
2. Weka mafuta katika sufuria na kaanga kitunguu hadi iwe rangi ya brauni.
3. Kisha kaanga thomu na tangawizi na vyote vilivyo baki ,pamoja na nyama isipokuwa spinach na hummus.
4. Nyama ikishakuwa si nyekundu tena, weka maji kiasi ya kuiivisha.
5. Nyama ikishaiva na karibu kukauka, tia hummus na spinach na iwache dakika chache.
6. Epua na tayari kuliwa na wali.
Monday, 2 January 2012
NEW YEAR'Z EVE @THE PIT STOP
Salama
mii
Salama & ai
na shabiki hapo kati
Aisha
Pozi lao tuu
Jestina & ai
Richard (mzee wa kazi) & miii
Aadil (my kazin) & friend
hapooo.....hapooo
Hapo sasa
'''Ze End''''
mii
Salama & ai
na shabiki hapo kati
Aisha
Pozi lao tuu
Jestina & ai
Richard (mzee wa kazi) & miii
Aadil (my kazin) & friend
hapooo.....hapooo
'''Ze End''''
Sunday, 1 January 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)