SPONSORED BY SERENGETI FREIGHT FORWARDERS (WAZEE WA KAZI)
Wednesday, 30 November 2011
Monday, 28 November 2011
Friday, 25 November 2011
kona ya mapishi
Mchuzi Wa Nyama Ya Mbuzi Na Bamia
Vipimo
Nyama ya mbuzi 2 Lb (Ratili)
Thomu na tangawizi 1 Kijiko cha supu
Bamia Kiasi
Pilipili mbichi iliyosagwa 1 Kijiko cha chai
Vitunguu 2
Nyanya iliyokatwa katwa 4
Chumvi kiasi
Garam masala 1 Kijiko cha supu
Kotmiri ½ Kikombe
Pilipili manga ½ Kijiko cha chai
Nyanya ya kopo 3 Vijiko vya supu
Ndimu 1
Mafuta ya kukaangia Kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
- Chemsha nyama pamoja na chumvi, thomu na tangawizi, pilipili na kitunguu kwa maji ya kiasi.
- Hakikisha nyama itakapowiva ibakie supu yake kidogo.
- Katika sufuria weka mafuta yapate moto, kaanga vitunguu mpaka view rangi ya hudhurungi, tia thomu kaanga kidogo tu.
- Kisha tia bizari, kotmiri na ukaange kidogo, tia nyanya kaanga zilainike halafu tia nyanya ya kopo.
- Weka bamia na endelea kukaanga.
- Mimina supu ya nyama, changanya kisha iwache kwenye moto kidogo kuwivisha bamia.
Thursday, 24 November 2011
Wednesday, 23 November 2011
HONGERA SAANA KHADIJA NGODA...........WAJINAAAA
Khadija Ngoda jana alipata nondo yake ya...bachelor of art(Hons) in BUSINESS STUDIES WITH HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
Khadija a.ka maam Malcomakiwa na mashostiii
pamoja sista Maureen
Tuesday, 22 November 2011
SERENGETI FREIGHTS YAANZA KUTOA HUDUMA MPYA YA MAGARI TOKA BANDARI YA IMMINGHAM
GOOD NEWS! GOOD NEWS!
NEW SERVICE FROM IMMINGHAM (NEAR LEEDS) FOR MOTOR VEHICLES SHIPPING
HABARI NJEMA KWA WOTE
WE HAVE NOW HAVE STARTED TO SHIP FROM IMMIGHAM PORT AT VERY LOW RATES
IF YOU ARE WITHIN M25/LONDON JUST DELIVER YOUR VEHICLE AT RAINHAM, FERRY LANE AND WE WILL TAKE YOUR VEHICLE TO THE PORT FOR FREE
IF YOU ARE BASED IN NORTH OR THE MIDLANDS THEN JUST GO TO THE PORT DIRECT
OUR PRICES FOR THE IMMINGHAM PORT SERVICES ARE
SALOON CARS TO MOMBASA/DAR JUST £620
4 X 4 CARS TO MOMBASA/DAR JUST £650
TRACTOR UNIT (KICHWA/HORSE) TO DAR/MOMBASA £40 PER CBM
OTHER LOADED TRUCKS TO DAR/MOMBASA £48 PER CBM
NEXT VESSEL SAILS ON 30/11/2011 CUT OFF 29/11/2011
THESE ARE SPECIAL OFFERS FOR IMMINGHAM PORT FOR UNTIL 31/12/2011
OUR PRICESS FROM TILBURY
SALOON CARS TO DAR/MOMBASA JUST £720
4X4 CARS TO DAR/MOMBASA JUST £800
NEXT VESSEL SAILS 26/11/2011 CUT OFF 24/11/2011
OUR PRICESS FROM SHEERNESS
SALOON CARS TO DAR/MOMBASA JUST £700
4X4 CARS TO DAR/MOMBASA JUST £780
NEXT VESSEL SAILS ON 12/11/2011
BEI ZETU TUNAZIANIKA HADHARANI NA HAZINA KIGUGUMIZI
BEI TULIYOKUPA NDIO UTAKAYOLIPA!
VIFURUSHI/MIZIGO MIDOGO KWA MELI £2.20 KWA KILO HII NI PAMOJA NA KUKOMBOA MZIGO BONGO HULIPI TENA
CARGO BY AIR TO START SOON AT A SHOCKING LOW RATES TO EAST AFRICA!watch this space!
Contact us for more info;
CHRIS LUKOSI 07903828119
SIMON LOUIS (MOHSIN) 07950689243
BRIAN (BABA NJOROGE) 07795160757
HASSAN (RICHARD) 07405159255
HQ - UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
JESSE 07591995595
Eastham Branch
267 high street south
Eastham
E6 3PG
Monday, 21 November 2011
k.party ya Azza Mnondwa
Bi Azza
Azza na somo yake Salma Mtambo...'kubwa la maadui'
Azza na Rukia
Qurshid na Maryam
mashoga wa dadaake bi arusi Nafisa wakipata picha baada ya kumfuta jasho
Kide akiserebuka na madada
jopo la masomo likifungua shampeni
Azza na somo yake Salma Mtambo...'kubwa la maadui'
Azza na Rukia
Qurshid na Maryam
mashoga wa dadaake bi arusi Nafisa wakipata picha baada ya kumfuta jasho
Kide akiserebuka na madada
jopo la masomo likifungua shampeni
MIJIDHAWAADII
Sunday, 20 November 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)