Pages

Ads 468x60px

Tuesday, 10 April 2012

'EM EM' GROUP WALIPOTEMBELEA WAGONJWA OCEAN ROAD NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA

 Karen (mwenyekiti) akikabidhi zawadi kidogo katika kituo cha watoto yatima kijitonyama CHAKUWAMA kwani hawakuishia ocean road tu, walitembelea hiki kituo na kutoa zawadi kidogo kwa watoto 80 wanaolelewa hapo na kusikiliza matatizo yao mengine
 Huyu ni mgonjwa aliyeruhusiwa lakini hakuwa na nauli ya kurudi kwao Mbinga,walifanikiwa  kumpatia kiasi cha Tshs 40,000, Karen akimkabidhi
 Karen akimkabidhi mgonjwa pesa kidogo ambaye hana ndugu DSM walikuta wagonjwa 5 ambao hawana ndugu na wote waliwapatia pesa kidogo
                           Wana EM EM waliotuwakilisha wenzao kwenye msafara huo

No comments: