Pages

Ads 468x60px

Monday, 13 February 2012

MAKAMUZI YA TUNDAMAN......@THE PIT STOP (UWANJA WA NYUMBANI)

                                                         Tundaman katika poowzz
                                  my anunt Safina Kassu na mwanalibeneke Jestina George
                                                      Naju, Rahma,Shenaz na Jestina
                                       Tundaman akiwapagawisha kisawasawa
                       msanii wa bongo movie Mecky akionyesha umahiri wake
                                                     Lady Tuma akilirudi goma la manzese
                             Mo wa London kama kawa akifurahia makamuzi

Msanii Tundaman yuko nchini Uingereza kwaajili ya show iitwayo 'Tundaman Valentine Tour' iliyo andaliwa na mwanadada Safina Kassu wa Kassu Entertainment.
Show yake ya kwanza ilianza tarehe 11 Feb 2012 katika kiota kipya cha maraha jijini London kiitwacho The Pit Stop 'Uwanja Wa Nyumbani' ambao msanii huyo alikonga nyoyo za masahbiki wake pale alipo anza makamuzi na kuwashukia na nyimbo zake pamoja na za kikundi cha Tip Top Connection.

Show zinaendela na tuonomba watu wajitokezee kwa wingi kwa ajili ya kumsupport msanii na mtanzania mwenzetu huyu.


Asanteni
 

Saturday, 11 February 2012

DRESSED BY UNIQUE PEARL COLLECTION

          Mwanamitindo  Gyver ndani ya kivazi toka 'Uniqwue Pearl Collection'

Wednesday, 8 February 2012

masaai trouser - ''Kwanza'' collection by Zib - design


Brand: Zib-Designs
Collection: "Kwanza"
Designer: Maskat de Haan  aka Hayakuhusu
 
Contacts
maskatdehaan@hotmail.com

Tuesday, 7 February 2012

PICHA YA LEO

  Mbunge wa Sumbawanga mjini my anko Mh Aeshi Hilal akiteta jambo na Mh waziri mkuu.......bungeni leo

Monday, 6 February 2012

DRESSED BY UNIQUE PEARL COLLECTION

                                             Mama Kibunju ndani ya kivazi toka    UPC

Sunday, 5 February 2012

KIDS GROVY PARTY .......@UWANJA WA NYUMBANI


MIAKA 35 YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

  Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mtoto Maganga mwenye umri wa miaka 3 alipotua jana kwenye uwanja wa     ndege Mwanza ajili ya kusherehekea miaka 35 ya CCM
                      Rais akipokewa jana uwanja wa ndege Mwanza
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete na mama Salma wakiongoza matembezi ya miaka 35 ya chama cha mapinduzi kutoka ofisi ya CCM mkoa hadi viwanja vya Furahisha jijini Mwanza

Picha thenx Global Publishers