Saturday, 7 April 2012
Friday, 6 April 2012
Wednesday, 4 April 2012
MAMA TUNU PINDA APOKEA MICHANGO YA TAIFA QUEENS
Mama Tunu Pinda amepokea simu ya mtandao wa Zantel namba 0779-000-808 ambayo imeunganishwa na huduma ya EZY-PESA. Simu hiyo ambayo imekabidhiwa kwa uongozi wa Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA) inawawezesha Watanzania kutuma pesa kwenye namba hii kutoka mitandao yote ya simu.
Meneja Mawasiliano wa Zantel, Bi. Awaichi Mawalla alitumia fursa hiyo kuwaomba Watanzania wajitokeze kwa wingi kutuma michango yao kupitia namba hiyo ili heshima ya Tanzania ambayo imepewa jukumu la kuandaa mashindano ya Kombe ya kombe ya Africa isitetereke.
Tanzania kupitia CHANETA imepewa heshima kuandaa mashindano ya netiboli ya kombe la Afica ambayo yanatarajiwa kuanza may 8 hadi 12 mwaka huu, na gharama za kuendesha mashindano hayo ni zaidi ya milioni 120
habari Global Publisher
Sunday, 1 April 2012
ARUMERU LEO
Mbunge wa sumbawanga mjini akiunguruma ktk mkutano wa kampeni katika kata ya seela sing'isi jimbo la arumeru mashariki kumnadi mgombea ubunge SIOI SUMARI wa CCM.
Thursday, 29 March 2012
XOXO FASHION STORE...................
Mini skirt, 3quartes & long skirts........zote zinapatikana rangi tofauti tofauti na size zoote zipo
zipo black pia
Jumpsuits zipo na za Blue dark
zipo black pia
Jumpsuits zipo na za Blue dark
PICHA YA LEO
Mbunge Wa Sumbawanga mjini Aeshi hilally akizungumza na Makada Wa Chama cha mapinduzi kata ya Maji ya chai kijiji cha kitefu katika jimbo la arumeru mashariki kuwahamasisha wajitokeze kwa wing siku ya tarehe 1/4/2012 kupiga kura kumchagua sioi solomoni sumari kuwa mbunge Wa arumeru masharik
Wednesday, 28 March 2012
Sunday, 25 March 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)