Pages

Ads 468x60px

Friday, 20 January 2012

'SUMBAWANGA NGA'RA 2012' YAZINDULIWA NA MKUU WA MKOA

Mbunge wa sumbawanga mjini Aeshi hilali akisafisha mtaro katika uzinduzi wa kampeni hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya (katikati) akifagia kwenye moja ya barabara za Mji wa Sumbawanga Mkoani humo jana katika uzinduzi wa kampeni ya kusafisha Mji huo ijulikanayo kama "SUMBAWANGA NG'ARA 2012". Wanaojumuika naye kwenye usafi huo ni Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Kanali John Antonyo Mzurikwao na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Samwel Simwela.

                                                     Paparazzi nao walikuwepo

No comments: