Thursday, 29 September 2011
Wednesday, 28 September 2011
kona ya mapishi
Juisi Ya Nanasi Na Tango
Vipimo
Nanasi 6 slesi
Tango 1 la kiasi
Sukari ½ Kikombe
Barafu Kiasi
Namna Ya Kutayarisha
1. Katakata nanasi na tango vipande vipande.
2. Kisha tia kwenye mashine ya kusagia pamoja na sukari na vipande vya barafu.
3. Ikiwa nzito sana ongeza maji.
4. Mimina katika gilasi
Kidokezo
Vipimo hivi ni kupata takriban gilasi 6.
Tuesday, 27 September 2011
Monday, 26 September 2011
Sunday, 25 September 2011
Saturday, 24 September 2011
HONGERA SAANA MY SISTA!!
my luvly sista saada
Hongera saana
nimemiss mie tuu hapo kati lol!
my sista saada and our kitinda mimba zuwena..... luv yuuu
Hongera saana
nimemiss mie tuu hapo kati lol!
my sista saada and our kitinda mimba zuwena..... luv yuuu
Subscribe to:
Posts (Atom)