Pages

Ads 468x60px

Tuesday, 13 September 2011

KUMBUKUMBU

LEO NI MIAKA SITA UMETIMIZA TOKEA UTUTOKE MPENZI WETU MARY
JAPO HAUKO NASI KIMWILI LAKINI KIROHO TUKO PAMOJA
DAIMA TUTAKUKUMBUKA,TULIKUPENDA SAANA ILA MWEYEZMUNGU ALIKUPENDA ZAIDI,PENGO ULILOACHA HALITAZIBWA KAMWE, UPO MIOYONI MWETU DAIMA.
                                                UPUMZIKE KWA AMANI.


No comments: