Pages

Ads 468x60px

Thursday, 8 September 2011

Safari ya warembo miss TZ 2011


Washindi wakionesha vitita vyao kutoka kushoto ni  Christine Mwegoha aliyepata dola 200, Zubeda Seif dola 1000 na Husna Maulid, warembo hawa wa Vodacom Miss Tanzania pia watafanya kazi nba Kampuni ya Papazi Entertainment & Promotion katika uchezaji Filamu.
Maofisa wa Papazi wakiongozwa na Mkurugenzi wa Papazi, Hans Zakaria (kulia) wakipiga picha ya pamoja baada ya washindi hao kukabidhiwa vitita vyao.
 mrembo Zubeda Seif aliyejinyakulia kitita akimnanga muigizaji nguli Jacquline Walper.
Vodacom Miss Tanzania Top Model, Mwajabu Juma (kushoto) akijibizana na Princess Mashonobo. 
Husna Maulid akionesha makali yake katika kucheza filamu na hapa akiigiza kuwa na machungu.
 Mshiriki Vodacom miss Tanzania Glory Lory akicheza kipande chake na Yusuf Mlela


                majaji wa shindano hilo la kutafuta waigizaji

1 comment:

Anonymous said...

Hey, I think your blog might be having browser compatibility issues.
When I look at your website in Safari, it looks fine but when
opening in Internet Explorer, it has some overlapping. I just
wanted to give you a quick heads up! Other then that,
fantastic blog!

my web-site quantrim guarantee