Pages

Ads 468x60px

Tuesday, 6 September 2011

Safari ya warembo miss TZ 2011

Alexia akipoowz mbele ya wenzie baada ya kutajwa kuwa ndiye mshindi wa Vodacom Miss Personality 2011
Alexia akibebwa na wenzake mara baada ya kutajwa kuwa ndiye mshindi wa Vodacom Miss personality na kupata tiketi ya kuingia nusu fainali ya Vodacom Miss Tanzania 2011.
HONGERA SAANAA ALEXIA,WAPI SALHA ISRAEL (my bnti) WAKILISHENI VYEEEMA ILALA ZONE

No comments: