Pages

Ads 468x60px

Thursday, 1 September 2011

NYUMBA INAUZWA

nyumba inauzwa ipo mtoni kijichi (wilaya ya Temeke DSM),eneo halina msongamano low density area). nyumba ina eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine, kiwanja kimepimwa, ina vyumba vitatu,viwili vya kawaida na kimoja ni master bedroom,ina garage ndani, dinning na living room kubwa na jiko kubwa, umeme upo eneo hilo, ni dakika 5 to main road (kilwa Road) na 15 -20 to town centre (k.koo/posta).
anaehitaji au kutaka maelezo zaidi awasiliane na mwenye nyumba 00255657183918

MUONEKANO WAKE


No comments: