Pages

Ads 468x60px

Thursday, 8 September 2011

Safari ya warembo miss TZ 2011

Afisa mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO motors Graciano Mfuse akiwapa maelezo baadhi ya warembo,kabla ya kuanza mafunzo rasmi ya namna yakuendesha gari aina ya Jeep Patroit.
Baadhi ya magari yaliyotumiwa kuwafundisha warembo katika ufukwe wa coco beach

Vodacom Miss Photogenic Stacy Sospeter akishuka kwenye gari aina ya Jeep Patroit alokuwa akijifunzia namna ya kuendesha
Vodacom Miss Personality Alexia Williams akimsikiliza kwa makini afisa mauzo wa kampuni ya kuuza magari CFO Motors Magdalena Mpeku akimpa maelezo ya namna ya kendesha gari aina ya Jeep patroit

No comments: