Pages

Ads 468x60px

Monday 23 January 2012

MAMA BALOZI UK JOYCE KALLAGHE AWAKARIBISHA WAHESHIMIWA WABUNGE WANAWAKE CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAKE


Katibu wa Chama cha wanawake UK (TAWA UK) Mariam Mungula akiwaeleza waheshimiwa machahceh kuhusu chama hicho.
Afisa wa Bunge Mrs Justina Shauri, Mhe. Esther Matiku, Mhe. Beatrice Shelukindo na Mama Balozi Joyce Kallaghe wakiwa wanamsikiliza mhe. Balozi akitoa ukaribisho
 Mama Balozi Joyce Kallaghe akiwa na wageni waheshimiwa wabunge Beatrice Shelukindo na Mamlek Sokoine
 Mwenyekiti wa TAWA UK Mariam Kilumanga na mwana libeneke Jestina George wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Al-Shaymaa J. Kwegyir
Mwenyekiti wa TAWA Uk Mariam Kilumanga, Afisa ubalozi mambo ya utawala Mrs. Rose Kiondo na Deputy Chairman wa TANZUK Ma Nelly wakiwa katika pich aya pamoja na Mhe.Al-Shaymaa J. Kwegyir 
 Mwana libeneke Jestina George akiwa katika picha ya pamoja na waheshimiwa Al-Shaymaa J. Kwegyir, Agripina Z Buyogera na Susan Lyimo
          Mhe. Balozi Peter Kallaghe akiwakaribisha waheshimiwa wabunge.
             Mhe. Beatirce Shelukindo akiwa na Mama Balozi Joyce Kallaghe.
 Mh. Anna Abdallah mwenyekiti wa TWPG na kiongozi wa msafara
 Waheshimwa wabunge wakiwa tayari kwa kupata chakula cha jioni kilicho andaliwa maalumu kwaajili yao na mama Balozi Joyce Kallagehe nyumbani kwake
                   Picha ya pamoja na waheshimiwa baada ya chakula cha jioni.

1 comment:

Sophie B. said...

safi sana akina mama wakishika nafasi serikalini namna hii! Mungu awajaalie