Pages

Ads 468x60px

Friday, 9 December 2011

MSIBA MSIBA MSIBA

Familia ya Gozza iliyopo uingereza,Marekani na Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha dada yao mpenzi Salama Jaffari Marzouk, kilichotokea jana usiku katika hospitali ya St Bernard Tanzania.
Mazishi yatafanyika leo, msiba upo mtaa wa Mzumbe Magomeni.

   mwenyezmungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi                                                Amiyna

No comments: