Pages

Ads 468x60px

Tuesday, 27 December 2011

                                       Mwanaharakati wa ukweli Joyce Kiria,

huyu ni mwanaharakati kamili kwa kuamua kuwakomboa wanawake kwa vitendo
ameamua kuandaa semina ambazo zitawasaidia wanawake wengi mno kubadilika na kupata maendeleo
semina hizi zitaendelea baadhi ya mikoa na lengo ni kufika Tanzania nzima,
tunawaomba wadau kuchangia semina hizi kwa chochote ambacho utajaliwa, ukiweza kutoa pesa, kutudhamini kumbi

kwa ajili ya kufanyia semina hizi, kutudhamini usafiri kutoka Dar kuja katika mkoa wako, 

Hata wewe unaweza kuchangia kwa M-PESA kwa namba hii +255 753 787 126


WATOA MADA WA SEMINA ILIYOPITA
 
                                      Dr.Josephine Slaa 
ni mwanamke ambaye naweza sema ni jasiri na mwenye kuthubutu, na amedhihirisha Mafanikio ni safari 

yenye milima na mabonde,alianza kuuza mkaa na sasa anamiliki Precious Clinic.


                                   Bwana Ringo Mowo 
ni mmojawapo ya wakinababa wa kuigwa

No comments: